Wikipedia
Tuesday, 16 September 2014
HIVI NDIVYO DIAMOND PLATNUMZ ANAFANYA... COKE STUDIO
Saturday, 13 September 2014
Sunday, 7 September 2014
Wednesday, 20 August 2014
Songa... Usiku Lyrics
Sunday, 27 July 2014
MBEZI KUNANI
hali isiyo julikana na wAtu wengi na kuwafanya watu wengi wabaki njia panda
ni kuwepo kikundi cha vijana wasiofahamika maeneo ya stendi kila wikiendi
vijana hao ambao huwa idadi yao inasadikika haishuki chin ya watu wa tano
wanakiongozi wao ambaye jina limeifadhiwa, huwa wanafika kila wikiend hasubuhi na mapema na wanaanza michezo yao ya ajabu....
je kunani???
Wednesday, 7 May 2014
Tuesday, 6 May 2014
Sunday, 4 May 2014
Dimpoz ame fail wapi??
dimpoz , dimpoz
tupogo
Tambua nini kilimfelisha mr tupogo
1. kuto kutoa kichupa cha tupogo
2.kuwa category moja na mr # 1
never give up
ommy
Ni Sheddy ???
swali linakuja ni sheddy clever ndiyo aliempa mafanikio diamond kwa beat kali aliopiga o ni juhudi binafci???
NINI MASOGANGE!!!
naamini kila mwenye macho akiitazama pic ya huyu mrembo swali litakalo kujia ni....
Nini masogange!!!!!
kuna watu wameumbika
akaaaa!!!!!! mimi simo