Wikipedia

Search results

Sunday, 27 July 2014

MBEZI KUNANI

hali isiyo julikana na wAtu wengi na kuwafanya watu wengi wabaki njia panda
ni kuwepo kikundi cha vijana wasiofahamika maeneo ya stendi kila wikiendi
vijana hao ambao huwa idadi yao inasadikika haishuki chin ya watu wa tano
wanakiongozi wao ambaye jina limeifadhiwa, huwa wanafika kila wikiend hasubuhi na mapema na wanaanza michezo yao ya ajabu....
je kunani???